LIVE: Tanzania Primier League (TPL)... Simba SC dhidi ya Kagera Sugar moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam.

Huo ndo mpira bro
 
Najiuliza Kocha huwa anatumia vigezo gani kumuweka huyu,maana kila mtu anasema lile chocho iweje yeye pekee aone kile ni kifaa
Huyu kocha inaonekana wana vitu vyao binafsi na zana so wanataka kuleta urafiki kwenye timu...huyu mchezaji kiwango chake ni kidogo sana...msimu ujao simba inatakiwa isajili mabeki wawili wazuri wa pembeni kulia na kushoto kiungo mmoja na forward mbili wazuri...huyu zana aondoke kama kocha anaona nimchezaji mzuri basi waondoke nae wakatafute timu itakayofurahia ujinga wao
 
Ningekuwa Mo huyu Zana angeshaondoka kitambo,na kocha kama anampenda zaidi anaondoka naye
 
Huyu jamaa yuko sahihi sana. Kiukwel nimeumia sana na goli lile la kizembe mnooo.
 
Lile kosa sio la Zimbwe ni kosa la golikipa,unaenda kukaa nyuma ya mchezaji kama unacheza basket
 
Mechi 03 za mwisho za ligi kati ya wekundu wa msimbazi na Kagera! Kagera kashinda 3 na mikia wameshinda 0! Duuh
 
Ningekuwa Mo huyu Zana angeshaondoka kitambo,na kocha kama anampenda zaidi anaondoka naye
Kocha akishaanza leta mambo ya kujuana kwenye mpira hafai kabisa...mpira ni mchezo unaochezwa hadharani na kila mwana simba yoyote anajua kabisa zana coulibaly ni mchezaji ambae hana kiwango cha kucheza simba....na simba tuwe wakweli inashinda kutokana na uwezo binafsi wa wachezaji...sasa ngoja tuone kama mo dewji yupo serious na uwekezaji wake simba au laa
 
Hawa jamaa hawana aibu wanawapiga Katerero hata ugenini
 
Team kama kagera sugar zinatakiwa ziwepo hii imasaidia kuongeza uimara wa ligi pia kuonyesha uzaifu wa team pizani, nazani simba watatumia hii kuboresha mazaifu yao, pia changamoto zinasaidia kuongeza utamu wa ligi, sasa mkiwa mnashinda kila mechi msisimiko wa ligi unakuwa haupo maana matokeo yanakuwa yameshajulikana tayari kabla ya mechi kuchezwa.
 
Tumenyanyua mikono katika mechi tano wametupiga nne, ila nawewe umeendelea kutolewa bikra mpaka ligi iishe una Rambo
Ninachofurah mimi ni kwamba mmepigwa nje ndani na kagera sugar

Kiufupi tu nyie ni underdog mateja kwa kagera sugar kama sio basi nitajie mara ya mwisho lini mlichukua point 3 kwa kagera
 
Hapa Simba mmefeli, yaani MNA pesa na uchumi wa uhakika alafu bado timu ambayo inaishi kwa kubahatisha inawatishia amani? Kikosi kipana kiko wapi? Kinafanya nini hadi Watoto Kagera wanaingia uani Mara mbili mfululizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…