Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Uliandika kwa kujiamini sana! unawajua vilivyo KageraGoli la kagera halirudi,
Taifa mlikosa hadi penalt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliandika kwa kujiamini sana! unawajua vilivyo KageraGoli la kagera halirudi,
Taifa mlikosa hadi penalt
MK14 goli za kufunga mechi 3 yeye alifunga mechi 1.Vipi mkuu ulimuona Mk14 akitetema? Au katetemeshwa yeye? Kagera ni shida
Huo ndo mpira broManula naye ni tatizo zaidi ya ZANA. Wasiojua mpira wanamlaumu Mohamed Husein kwa kosa la Manula. Manula kwa nafasi yake alikuwa anaona uwanja vizuri kuliiko Mohamed Husseni kwa hiyo aliona wazi Mohamed Huseni hana adui nyuma yake yeye alikwenda kufanya nini ndani ya hatua sita wakati beki wake hakuwa na adui yeyote karibu? Kwa nini asingemuita kwa sauti halafu akaenda kuudaka ule mpira mbele yake? Na ni beki gani atakayeacha mpira umpite wakati hajui nyuma kuna nani? Iwapo Manula angetulia golini kusingekuwa na madhara yoyote.
Pia kuna haja ya makocha kumwelekeza Manula na wakati mwengine kumkumbusha kurudi golini. Magoli asilimia 95 aliyofungwa kwenye champions league and hata ligi ya ndani huwa anakuwa amesogea mbele na kuliacha goli. Hata juzi goli la Coastal Union lilikuwa hivyo hivyo. Na vizuri zaidi kumleta kipa mwingine mwenye viwango ili ampe changamoto.
Lakini face to face na washambuliaji Manula nampa credit zake kwani hapa bongo hakuna anaemfikia.
Huyu kocha inaonekana wana vitu vyao binafsi na zana so wanataka kuleta urafiki kwenye timu...huyu mchezaji kiwango chake ni kidogo sana...msimu ujao simba inatakiwa isajili mabeki wawili wazuri wa pembeni kulia na kushoto kiungo mmoja na forward mbili wazuri...huyu zana aondoke kama kocha anaona nimchezaji mzuri basi waondoke nae wakatafute timu itakayofurahia ujinga waoNajiuliza Kocha huwa anatumia vigezo gani kumuweka huyu,maana kila mtu anasema lile chocho iweje yeye pekee aone kile ni kifaa
Hiyo inaitwa katetemwa.....Vipi mkuu ulimuona Mk14 akitetema? Au katetemeshwa yeye? Kagera ni shida
Ningekuwa Mo huyu Zana angeshaondoka kitambo,na kocha kama anampenda zaidi anaondoka nayeHuyu kocha inaonekana wana vitu vyao binafsi na zana so wanataka kuleta urafiki kwenye timu...huyu mchezaji kiwango chake ni kidogo sana...msimu ujao simba inatakiwa isajili mabeki wawili wazuri wa pembeni kulia na kushoto kiungo mmoja na forward mbili wazuri...huyu zana aondoke kama kocha anaona nimchezaji mzuri basi waondoke nae wakatafute timu itakayofurahia ujinga wao
Huyu jamaa yuko sahihi sana. Kiukwel nimeumia sana na goli lile la kizembe mnooo.Manula naye ni tatizo zaidi ya ZANA. Wasiojua mpira wanamlaumu Mohamed Husein kwa kosa la Manula. Manula kwa nafasi yake alikuwa anaona uwanja vizuri kuliiko Mohamed Husseni kwa hiyo aliona wazi Mohamed Huseni hana adui nyuma yake yeye alikwenda kufanya nini ndani ya hatua sita wakati beki wake hakuwa na adui yeyote karibu? Kwa nini asingemuita kwa sauti halafu akaenda kuudaka ule mpira mbele yake? Na ni beki gani atakayeacha mpira umpite wakati hajui nyuma kuna nani? Iwapo Manula angetulia golini kusingekuwa na madhara yoyote.
Pia kuna haja ya makocha kumwelekeza Manula na wakati mwengine kumkumbusha kurudi golini. Magoli asilimia 95 aliyofungwa kwenye champions league and hata ligi ya ndani huwa anakuwa amesogea mbele na kuliacha goli. Hata juzi goli la Coastal Union lilikuwa hivyo hivyo. Na vizuri zaidi kumleta kipa mwingine mwenye viwango ili ampe changamoto.
Lakini face to face na washambuliaji Manula nampa credit zake kwani hapa bongo hakuna anaemfikia.
Lile kosa sio la Zimbwe ni kosa la golikipa,unaenda kukaa nyuma ya mchezaji kama unacheza basketManula naye ni tatizo zaidi ya ZANA. Wasiojua mpira wanamlaumu Mohamed Husein kwa kosa la Manula. Manula kwa nafasi yake alikuwa anaona uwanja vizuri kuliiko Mohamed Husseni kwa hiyo aliona wazi Mohamed Huseni hana adui nyuma yake yeye alikwenda kufanya nini ndani ya hatua sita wakati beki wake hakuwa na adui yeyote karibu? Kwa nini asingemuita kwa sauti halafu akaenda kuudaka ule mpira mbele yake? Na ni beki gani atakayeacha mpira umpite wakati hajui nyuma kuna nani? Iwapo Manula angetulia golini kusingekuwa na madhara yoyote.
Pia kuna haja ya makocha kumwelekeza Manula na wakati mwengine kumkumbusha kurudi golini. Magoli asilimia 95 aliyofungwa kwenye champions league and hata ligi ya ndani huwa anakuwa amesogea mbele na kuliacha goli. Hata juzi goli la Coastal Union lilikuwa hivyo hivyo. Na vizuri zaidi kumleta kipa mwingine mwenye viwango ili ampe changamoto.
Lakini face to face na washambuliaji Manula nampa credit zake kwani hapa bongo hakuna anaemfikia.
Kocha akishaanza leta mambo ya kujuana kwenye mpira hafai kabisa...mpira ni mchezo unaochezwa hadharani na kila mwana simba yoyote anajua kabisa zana coulibaly ni mchezaji ambae hana kiwango cha kucheza simba....na simba tuwe wakweli inashinda kutokana na uwezo binafsi wa wachezaji...sasa ngoja tuone kama mo dewji yupo serious na uwekezaji wake simba au laaNingekuwa Mo huyu Zana angeshaondoka kitambo,na kocha kama anampenda zaidi anaondoka naye
Ninachofurah mimi ni kwamba mmepigwa nje ndani na kagera sugarTumenyanyua mikono katika mechi tano wametupiga nne, ila nawewe umeendelea kutolewa bikra mpaka ligi iishe una Rambo
Wakati usenge kaufanya mwenyeweManula anatoa wapi kiburi cha kumpiga captain msaidizi? ? Asifanye kwa YONDANI AFCON atachezea ndoo
Hapa Simba mmefeli, yaani MNA pesa na uchumi wa uhakika alafu bado timu ambayo inaishi kwa kubahatisha inawatishia amani? Kikosi kipana kiko wapi? Kinafanya nini hadi Watoto Kagera wanaingia uani Mara mbili mfululizo?Tanzania Premier League (Ligi kuu bara) inaendelea leo ikikutanisha Simba dhidi ya Kagera. Simba ni bingwa mteteza anataka kuendeleza ubabe wa kwa kuchukua kombe hili mara ya pili mfululizo, je atafanikiwa?? ungana na mimi hapa hapa nikikuletea updates za hapa na pale
......................................................................
zimebaki dakika kadhaa game kuanza na hivi ndiyo vikosi vitakavyoanza leo.
LINE-UPS
SIMBA SC; Aishi Manula, Zana Coulibaly, Mo Hussein, Yusuph Mlipili, Erasto Nyoni, James Kotei, Hassan Dilunga HD, Mzamiru Yassin, Meddie Kagere, Emmanuel Okwi, Mo Ibrahim.
SUBS; Deogratias Munish, Nicolas Gyan, Said Ndemla, Clatous Chama, Adam Salamba, Rashid Juma.
Mpira utaanza saa 10:00 jioni.
..........................................................
HALF TIME: Simba Sc 0-1 Kagera Sugar
..........................................................
FULL TIME: Simba Sc 0-1 Kagera Sugar
1. Simba: games 32 points 81
2. Yanga: games 35 points 80
Hii siyo updates mkuuSimba 0 -1 kagera dk 41