LIVE: Tanzania Primier League (TPL)... Simba SC dhidi ya Kagera Sugar moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam.

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
Tanzania Premier League (Ligi kuu bara) inaendelea leo ikikutanisha Simba dhidi ya Kagera. Simba ni bingwa mteteza anataka kuendeleza ubabe wa kwa kuchukua kombe hili mara ya pili mfululizo, je atafanikiwa?? ungana na mimi hapa hapa nikikuletea updates za hapa na pale
......................................................................
zimebaki dakika kadhaa game kuanza na hivi ndiyo vikosi vitakavyoanza leo.
LINE-UPS
SIMBA SC; Aishi Manula, Zana Coulibaly, Mo Hussein, Yusuph Mlipili, Erasto Nyoni, James Kotei, Hassan Dilunga HD, Mzamiru Yassin, Meddie Kagere, Emmanuel Okwi, Mo Ibrahim.
SUBS; Deogratias Munish, Nicolas Gyan, Said Ndemla, Clatous Chama, Adam Salamba, Rashid Juma.
Mpira utaanza saa 10:00 jioni.
..........................................................
HALF TIME: Simba Sc 0-1 Kagera Sugar
..........................................................
FULL TIME: Simba Sc 0-1 Kagera Sugar

1. Simba: games 32 points 81
2. Yanga: games 35 points 80​
 
Tanzania Premier League (Ligi kuu bara) inaendelea leo ikikutanisha Simba dhidi ya Kagera. Simba ni bingwa mteteza anataka kuendeleza ubabe wa kwa kuchukua kombe hili mara ya pili mfululizo, je atafanikiwa?? ungana na mimi hapa hapa nikikuletea updates za hapa na pale
......................................................................
zimebaki dakika kadhaa game kuanza na hivi ndiyo vikosi vitakavyoanza leo.
LINE-UPS
SIMBA SC; Aishi Manula, Zana Coulibaly, Mo Hussein, Yusuph Mlipili, Erasto Nyoni, James Kotei, Hassan Dilunga HD, Mzamiru Yassin, Meddie Kagere, Emmanuel Okwi, Mo Ibrahim.
SUBS; Deogratias Munish, Nicolas Gyan, Said Ndemla, Clatous Chama, Adam Salamba, Rashid Juma.

Mpira utaanza saa 10:00 jioni.
Namuona Zana ndani ya nyumba, Kule Bukoba alikuwa uchochoro, sijui Leo itakuwaje.
 
Wek picha ya Vikosi inogeshe uzi sio kuandika hivyo uzi unakuwa wakishamba
 
1' mpira umeanza rasmi
 
'4 Aishi Manula amegongana na beki wake Erasto Nyoni ameumia anagangwa uwanjani
 
Wek picha ya Vikosi inogeshe uzi sio kuandika hivyo uzi unakuwa wakishamba
Simba
FB_IMG_1557492463090.jpeg
 
6' Simba wanapata kona na mpigaji ni Hassan Dilunga

Simba 0-0 Kagera Sugar
 
9' Kagera Sukari wanapata kona ya kwanza inaenda kupigwa na Ally Ramadhan
 
11' kona ya tatu kwa timu ya Simba inaokolewa na Peter Mwalianzi wa timu ya Kagera.
 
18' Simba wanafanya shambulio nje ya box Emmanuel Okwi anapiga shuti kali na kutoka nje (goal kick)
Simba 0-0 Kagera Sugar
 
Back
Top Bottom