Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utulie wewe, nyani haoni kundule😏😏Habari njema. Miwa na sukari mmelishwa kaitaba na uhuru ( shamba la bibi
Kosa kubwa ni la kipa, aliacha goli wazi,angeweza kuokoaTshabalala fala tu wewe kokote uliko mamaeee
Vipi siku na AS VITATshabalala fala tu wewe kokote uliko mamaeee
Tatu zile zileBado mechi ngapi tutwae ubingwa?
Mmepigwa Njee ndani kudadekiUtulie wewe, nyani haoni kundule[emoji57][emoji57]
3 lakini ngumu kishenzi,Azam na MtibwaBado mechi ngapi tutwae ubingwa?
Mna haki mcheke.. nilichopenda timu ya nyumbani imerudisha matumaini ya kubaki TPL.Mmepigwa nje ndani kwanini msichekwe
Kalikuwa kanajituma kweli, kwanza nasikia kana roga wachezaji wenzie kapate namba.Vipi siku na AS VITA
Very stupid
Tumenyanyua mikono katika mechi tano wametupiga nne, ila nawewe umeendelea kutolewa bikra mpaka ligi iishe una RamboMmepigwa Njee ndani kudadeki
Mistake hazikosi mkuu.. zimbwe yuko vzr.Tshabalala fala tu wewe kokote uliko mamaeee
Hawa watoto wametuaibisha... ubingwa ndio kipaumbeleMmepigwa Njee ndani kudadeki
Ndio mpira Mkuu..tujipange kwa game zijazo..najua wataongea sana kwa kutuburuza nje na ndani..Siku yangu imeharibika kabisa,pumbavu
Vipi mkuu ulimuona Mk14 akitetema? Au katetemeshwa yeye? Kagera ni shidaSeat ya mbele kabisa nikisubiri kumuona Kagele akitetema
Bado point 9 sawa na game 3 Kati 6 tulizobakiza.Bado mechi ngapi tutwae ubingwa?
Hapa wakulaumiwa ni shabalala, beki unatulizia mpira golini uyu dogo anatakiwa awe anaingia km subDawa ya kagera sugar ni Golikipa mwingine pamoja na ulinzi na si manura na zana nitashangaa sana msimu ujao manura akiendelea kuaminiwa kama golikipa namba moja wa Simba pamoja na zana kubakia.
Ubingwa tutachukua lakini si kwa kufedheheshwa kiasi hiki na timu ileile, hii inamaanisha mbinu zao dhidi ya Simba ni bora zaidi na hatujawahi kuwafanyia kazi ipasavyo