Live: Uefa Champions League draw

Live: Uefa Champions League draw

Jamaa hawaendi ki-alphabet nn kupanga hayo magrup?..mm nachek via soccernet..
 
Rev Masa..waweza pata majina ya timu za Kundi A na B?....Man Utd wa lead group C, Barca Group D.........

Group A: Inter Milan
Group B: Lyon
Group E: Bayern Munich
Group G: AC Milan
 
Manda, Internazionale wako group A. Group B ni OLympique Lyon.
 
Duh Maicon kachukua Club Defender of the year.
 
Jamaa kumbe wanatoa zawadi pia za wacheza bora wa CL iliyopita?, am sure ni kuwa nyingi zitaenda kwa vijana waliokuwa wa Mourihno.
 
Valencia wanaenda group C na Man utd
 
Nadhani Lucio was superb as well, kwangu mm ningempa ubeki bora.
 
Real Madrid wanaenda group G wanakutana na AC Milan hahahaha patamu hapo
 
Roma wamepangiwa group E na Bayen Munich
 
Benfica wanaenda group la B na Lyon
 
Shakhtar Donest wanaenda kwa H na Arsenal safari hiyo Ukraine
 
Huko waliko Tottenham wanalitaman sana Group B...
 
Back
Top Bottom