Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Ha ha ha !, nasubiri kusikia excuse za Game Fatique, miguu kuvimba kwenye ndege etc, na zile ashes zikijirudi sijui itakuwaje Mkubwa..?
amazing the best player of UEFA CL hakupata nafasi ya kung'aa woza 2010
Woza a.k.a Oza kungaa kwake kunaishia Premier league tu, akitoka kwenye comfort zone ya England anakuwa ovyo tu, angalia mashindano yote akiwa na timu ya England ama Champions league hana mikiki.amazing the best player of UEFA CL hakupata nafasi ya kung'aa woza 2010
Woza a.k.a Oza kungaa kwake kunaishia Premier league tu, akitoka kwenye comfort zone ya England anakuwa ovyo tu, angalia mashindano yote akiwa na timu ya England ama Champions league hana mikiki.
na ndio timu zenye historia ya kombe hilo,real madrid,ac milan na ajax amsterdammpaka sasa naona group G ndio Group of death!
Duh chuki nyingine, watu wanazungumzia kuhusu Diego Milito kutokuiwemo kwenye World Cup aka WoZa 2010. Umechanganya mambo.
Mkuu hii ilikuwa lost in translation, mimi nilijua anaongelewa Rooney kwa sababu nae anatumia nick-name ya Wozza.
mpaka sasa naona group G ndio Group of death!
Ilo kundi la Arsenal na Bayern mdebwedo, Chelsea nao mchekea.
Hizi ni Inter Milano's Tuzoz!?..LOL!
na ndio timu zenye historia ya kombe hilo,real madrid,ac milan na ajax amsterdam
miji mikuu ya belgrade,bucharest,glasgow,amsterdam na madrid ndio miji mikuu pekee iliyobeba uefa champions league
yah kweli na benfica asante kwa kunikumbushaVipi kuhusu Lisbon?!
Ulitaka wammpe Rooney?!!...LOL!!
Mwaka huu itakuwa tofauti Fainali ni Arsenal na Tot Wembley hahahahahaah
drogba vs timu yake ya zamani marseille,fs twente chini ya steven mc laren,rubin kazan msimu uliopita kamfunga barca nou camp 2-1,ngoja tumuone suarez akiwa captain wa ajax amsterdam itakuwaje maana afrika karibia yote ndie adui wetu huyu kwa kudaka vs ghana kama kipa,tumewakosa juventus,liverpool ndio kama timu kubwa ulaya ambazo zimekosa mashindano haya