live update: Simba vs Telecom

live update: Simba vs Telecom

update kutoka simba app.

hadi sasa simba yuko nyuma kwa goli moja
_____________
Simba wanapata goli la kusawazisha kupitia kwa Valentino Mashaka
Hivi inakuwaje?
Hii timu nasikia imeshuka Daraja huko Egypt.
Uuuwi
 
Kwan hiyo tim inayo cheza na simba katika ligi inayo shiriki iko nafasi ya ngapi??
 
Hii siri wala sio shida.
Ni mbinu nzuri, tunawajua hawatujui.

Tutawapa surprise nzuri!!

Ila kuna namna nateseka sana ninavyosikia timu inanyanyaswa na Vitimu vya Madaraja ya chini.
Ni kweli, tunawajua hawatujui halafu wanajiamini kupitiliza, udhaifu wao upo hapa.

Wasiwasi wangu ni uwezo wa mbinu wa kocha wetu wa kutumia huku kuwafahamu kama + na pia iwapo ana uwezo wa kuunganisha kikosi kuwa timu hiyo tarehe 8. Hii hofu inaletwa kwa kuwa kocha ni mpya, wachezaji ni wapya.
 
Na Pressure itakuwa kubwa sana kwetu endapo huu usiri wanaoufanya hautaleta matokeo mazuri.

Na mbaya tunaanza na Uto moja kwa moja.

I wish kinachofichwa kituletee matokeo.
Otherwise itawagharimu
 
Ni kweli, tunawajua hawatujui halafu wanajiamini kupitiliza, udhaifu wao upo hapa.

Wasiwasi wangu ni uwezo wa mbinu wa kocha wetu wa kutumia huku kuwafahamu kama + na pia iwapo ana uwezo wa kuunganisha kikosi kuwa timu hiyo tarehe 8. Hii hofu inaletwa kwa kuwa kocha ni mpya, wachezaji ni wapya.
🤣🤣🤣🤣
Mnajifariji, hapo hapo mnajitia hofu, basi tafrani!!

Muhaho 🤣
 
Kuna siri gani Sasa hapo wakati mna game tarehe 3 kabla ya 8

Mchezo mmoja tu, ni rahisi sana kocha kupanga kikosi cha kumchanganya zaidi adui.
Hii siri ni strategy!! Unajua tukipoteza game ya 8/8. inakuwa game yetu ya 3 kupoteza?

Hatuko tayari kwa namna yoyote ile
 
Back
Top Bottom