live update: Simba vs Telecom

live update: Simba vs Telecom

Mchezo mmoja tu, ni rahisi sana kocha kupanga kikosi cha kumchanganya zaidi adui.
Hii siri ni strategy!! Unajua tukipoteza game ya 8/8. inakuwa game yetu ya 3 kupoteza?

Hatuko tayari kwa namna yoyote ile
🦁
 
1722191204489.png
 
Ila hii timu ya simba tusipokuwa makini tar 8 tutapigwa zaidi ya goal 3,hivi tu katimu hako kanaanza kutupia goli !! kwa yanga haitawezekana kuzirudisha goals kama wataanza kutufunga,
 
Back
Top Bottom