Hivi inakuwaje?update kutoka simba app.
hadi sasa simba yuko nyuma kwa goli moja
_____________
Simba wanapata goli la kusawazisha kupitia kwa Valentino Mashaka
Hii siri wala sio shida.Du, Au tar 8 mechi ichezwe kwa siri nini? Maana batiki batiki wakikutukuta hatupo sawa tutanyanyasika mno.
Ubaya UboyaUbaya ubwela mna hali gani eti? 🤣🤣🤣🤣
Ni kweli, tunawajua hawatujui halafu wanajiamini kupitiliza, udhaifu wao upo hapa.Hii siri wala sio shida.
Ni mbinu nzuri, tunawajua hawatujui.
Tutawapa surprise nzuri!!
Ila kuna namna nateseka sana ninavyosikia timu inanyanyaswa na Vitimu vya Madaraja ya chini.
Na Pressure itakuwa kubwa sana kwetu endapo huu usiri wanaoufanya hautaleta matokeo mazuri.Ni kweli, tunawajua hawatujui halafu wanajiamini kupitiliza, udhaifu wao upo hapa.
Wasiwasi wangu ni uwezo wa mbinu wa kocha wetu wa kutumia huku kuwafahamu kama + na pia iwapo ana uwezo wa kuunganisha kikosi kuwa timu hiyo tarehe 8. Hii hofu inaletwa kwa kuwa kocha ni mpya, wachezaji ni wapya.
🤣🤣🤣🤣Ni kweli, tunawajua hawatujui halafu wanajiamini kupitiliza, udhaifu wao upo hapa.
Wasiwasi wangu ni uwezo wa mbinu wa kocha wetu wa kutumia huku kuwafahamu kama + na pia iwapo ana uwezo wa kuunganisha kikosi kuwa timu hiyo tarehe 8. Hii hofu inaletwa kwa kuwa kocha ni mpya, wachezaji ni wapya.
Kabisa mkuu.Na Pressure itakuwa kubwa sana kwetu endapo huu usiri wanaoufanya hautaleta matokeo mazuri.
Na mbaya tunaanza na Uto moja kwa moja.
I wish kinachofichwa kituletee matokeo.
Otherwise itawagharimu
Kuna siri gani Sasa hapo wakati mna game tarehe 3 kabla ya 8Na Pressure itakuwa kubwa sana kwetu endapo huu usiri wanaoufanya hautaleta matokeo mazuri.
Na mbaya tunaanza na Uto moja kwa moja.
I wish kinachofichwa kituletee matokeo.
Otherwise itawagharimu
Kaa kwa kutulia.🤣🤣🤣🤣
Mnajifariji, hapo hapo mnajitia hofu, basi tafrani!!
Muhaho 🤣
Kuna siri gani Sasa hapo wakati mna game tarehe 3 kabla ya 8
Mchezo mmoja tu, ni rahisi sana kocha kupanga kikosi cha kumchanganya zaidi adui.Kuna siri gani Sasa hapo wakati mna game tarehe 3 kabla ya 8
Dakika ya ngapi?Simba kafunga cha 2
Bado hamjasema!Kaa kwa kutulia.