Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

Floyd money ametangaza kustaafu bila kupigwa. BERTO amkubali mayweather
 
Bora astaafu.....labda ladha ya ngumi itarudi
 
Bondia gani anae chagua mpiganaji

..yani nilitaka kuandika km wewe..ila ngoja nijiongeze kdg; na hiyo ndio sababu hizi fight hazina msisimko wowote, tabia ya boxer kujichagulia mpinzani sijui imeanzia wapi?
 
..yani nilitaka kuandika km wewe..ila ngoja nijiongeze kdg; na hiyo ndio sababu hizi fight hazina msisimko wowote, tabia ya boxer kujichagulia mpinzani sijui imeanzia wapi?

Pac kaomba warudiane jamaa kagoma maana anajua atapigwa.....
Pia jamaa mara nyingi amekuwa akichagua na kambi yake ndio yaweka terms and conditions hivyo unakuta mpiganaji mwenzake hata akimpiga bado hapati hela au atapewa hela ndogo, hivyo basi anakubali apigwe ili hela iwe yakutosha
 
Money maker ni mzee wa mijisifa sana. ngumi zenyewe hazina mvuto hata kidogo. anapiga ngumi moja ya kuvizia then anaanza kukimbia kimbia na kukumbatia. me naona mshkaji huwa anabebwa sana. mf. pambano lake na Pacquao alichezea kichapo sana lakini mwishowe akapewa ushindi. Anatufanya tumkumbuke zaidi Mike Tyson.
 
Akafie Zake Mbele Huyo, Katuharibia Ngumi Hadi Watu Hawazifurahii Tena Kwa Usanii Wake.
Heshima Itabaki Kwa Man Pacq Kwa Kizazi Hiki Ndiye Fighter Wa Kweli Wengne Wanaigiza Tu Na Kutengenezewa Rekodi Za Kisanii.
 
safi sanaaaaaaa MAIWEZA..ameweka rekodi nzuri kwa blacks.....MAZUNGU yatakuwa yamekasirika sana.
 
Bandwagoning. Ali fought Foreman like a bitch, there's never been a re-match. Money had Manny and all the other 48 how he wanted, but everybody's running they mouths. Funny thing is, about 90% of those don't know shit about boxing, neither do they follow the sport.
 
safi sanaaaaaaa MAIWEZA..ameweka rekodi nzuri kwa blacks.....MAZUNGU yatakuwa yamekasirika sana.

mkuu unaishi porini sana/kijijini, coz umepost kitu ambacho kinakufunua ubongo wako ulivo empty
 
Akubali kupigana na Amir khan kama yeye mbabe ndo astaafu
 
Back
Top Bottom