Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Alimuogopa amir khan yule ndo mana watu weng tulijua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe tuko wengi,natamani apigwe tu mapambano yajayo maana anaharibu utamu wa ndondi.
Bondia gani anae chagua mpiganaji
..yani nilitaka kuandika km wewe..ila ngoja nijiongeze kdg; na hiyo ndio sababu hizi fight hazina msisimko wowote, tabia ya boxer kujichagulia mpinzani sijui imeanzia wapi?
Bondia gani anae chagua mpiganaji
Siku hizi masumbwi ni biashara, mabondia wanatazama wapi kuna fedha nyingi
safi sanaaaaaaa MAIWEZA..ameweka rekodi nzuri kwa blacks.....MAZUNGU yatakuwa yamekasirika sana.