issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Ni simba na villa ya uganda na sio na fc leopardni bonge la mtanange ambao utapigwa uwanja wa taifa,UKAWA NATIONAL STADIUM.
Ni simba na villa ya uganda na sio na fc leopard
Mpira umeshaanza bado ni bila kwa bila.
mkuu binafsi sina shida na matokeo ila ningependa kujua wachezaji wapya ni akina nani?...
ni bonge la mtanange ambao utapigwa uwanja wa taifa,UKAWA NATIONAL STADIUM.
mkuu binafsi sina shida na matokeo ila ningependa kujua wachezaji wapya ni akina nani?...
Kuna radio moja bahati mbaya inasikika Dar es salaam pekee, inaitwa City FM ndo wanatangaza.
Updates plz wadau hapo Taifa