Live Updates: APR Vs Yanga

Live Updates: APR Vs Yanga

Kwa Kwa Afrika Hilo Halipo Mkuu, Ndio Maana Simba Anacheza Na TP Mazembe, Yanga Wananunua Jezi Za TP Mazembe Na Kushangilia Mwanzo Mwisho!! Kama Ilivyo Huko Kigali Rwanda, Yanga Walivyopokelewa Na Mashabiki Wa RAYON SPORTS, Ambao Ni Wapinzani Wa APR!! Na Uwanjani Watapewa Sapoti Nao!!! Suala La Utaifa, Ni Kwa National Team Only!!!!

Well Said Bro. Kwenye timu ya Yanga kwa mfano kuna Wanyarwanda kadhaa. Sasa wakileta utaifa itakuwaje?
 
Yanga Afrika
Yanga Umoja wa mataifa......

Yanga KAPEWA TENA HUKO RWANDA
 
Mwamuzi hii mechi inaonekana kuwa kubwa kwake
 
Back
Top Bottom