maila majani
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 110
- 11
Yanga wanapata goal 1 juma abdul
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ya mwisho huyo jamaa alikua Paris Ufaransa.....Huyu GENTAMYCINE unadhani yupo Amahoro kweli!!!!!! itakuwa anaishi huko vijijini hivyo hawez kutoa tathmin yoyote ya huu mchezo.
Roho mbaya haijengi ndugu.....Hata kama Uzalendo kwanza, lakini sio kwa Yanga. Bora wafungwe tu
Kwa Kwa Afrika Hilo Halipo Mkuu, Ndio Maana Simba Anacheza Na TP Mazembe, Yanga Wananunua Jezi Za TP Mazembe Na Kushangilia Mwanzo Mwisho!! Kama Ilivyo Huko Kigali Rwanda, Yanga Walivyopokelewa Na Mashabiki Wa RAYON SPORTS, Ambao Ni Wapinzani Wa APR!! Na Uwanjani Watapewa Sapoti Nao!!! Suala La Utaifa, Ni Kwa National Team Only!!!!
Mbele kwa mbele nyuma mwiko.Dar young 1 apr 0
Mleta uzi mbona hivi dakika 15kimyaaa lete updates ndugu.
Shukran ndugu kwa taarifa.bado 0 - 1 dakika ya 69