Live Updates: Azam FC v Mtibwa Sugar FC - 11/02/2015

Sasa hao mtibwa mbona vichwa vya panzi?
Aah wameniudhiiiiiiiii
 
Sasa hao mtibwa mbona vichwa vya panzi?
Aah wameniudhiiiiiiiii

Kocha wao ndo anawaharibia timu, anawafundisha wachezaji kucheza kwa nguvu zote siku wakikutana na yanga lakin wakicheza na timu nyingine wanadebweda kama wanaumwa degedege.
 
Siku ile mnawafunga hamkuona kama ni vichwa vya panzi? Inakuwaje Azam wanawafunga mnawaona vichwa vya panzi?

Siku ile walicheza mpira wa kiushindani lakini leo wanacheza ovyo mno.
 
Tobias Kifaru mjinga sana huyu jamaa pamoja na Mexime wake, wao wanaiandaa timu yao kwa ajili ya kupambana na yanga tu, Acha wapigwe tu hata ikiwezekana wale 5-0.

Imewauma Mtibwa kufungwa
 
Sipati picha leo Kifaru akipigiwa simu atasema sijui yuko wapi labda Sumbawanga.
 
Siku ile mnawafunga hamkuona kama ni vichwa vya panzi? Inakuwaje Azam wanawafunga mnawaona vichwa vya panzi?

Hahahahaaa mikia bana, hawa mtibwa ndio ni vichwa vya panzi, tuwe tunacheza nao siye au wengine.
 
Siku ile walicheza mpira wa kiushindani lakini leo wanacheza ovyo mno.

Sio wanacheza ovyo sema wamekutana na mafundi. Halafu mbaya zaidi kwenu wachezaji mliowaacha kwa uzembe ndo wanatumika kuipandisha Azam kwenye msimamo. Azam wametumia hela kibao kumsajili na pia kumtibu na kumvumilia kwa muda wa zaidi ya miezi sita walijua huyu ni fundi na ataisaidia timu kupata ushindi.
 
Mtibwa wanapata goli la 2, Azam 4-2 Mtibwa.
 

Umesomeka Mkuu, tukikutana nao sisi lazima wakae tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…