Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Sasa hao mtibwa mbona vichwa vya panzi?
Aah wameniudhiiiiiiiii
Aah wameniudhiiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sidhani kama wakata miwa wanaweza kufanya hiyo miujuza. Wametupiwa la 4 tayari domayo tena.
Siku ile mnawafunga hamkuona kama ni vichwa vya panzi? Inakuwaje Azam wanawafunga mnawaona vichwa vya panzi?Sasa hao mtibwa mbona vichwa vya panzi?
Aah wameniudhiiiiiiiii
Sasa hao mtibwa mbona vichwa vya panzi?
Aah wameniudhiiiiiiiii
Sasa hao mtibwa mbona vichwa vya panzi?
Aah wameniudhiiiiiiiii
Siku ile mnawafunga hamkuona kama ni vichwa vya panzi? Inakuwaje Azam wanawafunga mnawaona vichwa vya panzi?
Tobias Kifaru mjinga sana huyu jamaa pamoja na Mexime wake, wao wanaiandaa timu yao kwa ajili ya kupambana na yanga tu, Acha wapigwe tu hata ikiwezekana wale 5-0.
Siku ile mnawafunga hamkuona kama ni vichwa vya panzi? Inakuwaje Azam wanawafunga mnawaona vichwa vya panzi?
Imewauma Mtibwa kufungwa
Siku ile walicheza mpira wa kiushindani lakini leo wanacheza ovyo mno.
Hawana mpango kabisa, wanawapandisha chati sana hawa Azam na Omog wao. Ngoja tukutane nao tutawanyoosha tu.
Yaani wanaachiaje wanabugizwa magoli manne kama wamesimama. Tena wamewapandisha hasa, sina hamu nao
Wamechukua chao nini, mbona wanafungwa kirahisi hivi?
Sio wanacheza ovyo sema wamekutana na mafundi. Halafu mbaya zaidi kwenu wachezaji mliowaacha kwa uzembe ndo wanatumika kuipandisha Azam kwenye msimamo. Azam wametumia hela kibao kumsajili na pia kumtibu na kumvumilia kwa muda wa zaidi ya miezi sita walijua huyu ni fundi na ataisaidia timu kupata ushindi.
Kumbe ni kawaida yao kuchukua chao mapema?
Ahahaaaa!!!wapigwe hata wiki wapumbavu sana hawa