Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
- Thread starter
-
- #61
Ahahaaaa!!!
we utakua YANGA tu!!!
Kocha wao ndo anawaharibia timu, anawafundisha wachezaji kucheza kwa nguvu zote siku wakikutana na yanga lakin wakicheza na timu nyingine wanadebweda kama wanaumwa degedege.
Dak ya 86 azam wanafunga goli la 5. tcheche
Sasa leo ndio watatia akili na kulala na viatu, wanatupania sisi na leo watatoka vichwa chini.
Dak ya 86 azam wanafunga goli la 5. tcheche
Hahahahaaa mikia bana, hawa mtibwa ndio ni vichwa vya panzi, tuwe tunacheza nao siye au wengine.
Siku ile walicheza mpira wa kiushindani lakini leo wanacheza ovyo mno.
Kocha wao ndo anawaharibia timu, anawafundisha wachezaji kucheza kwa nguvu zote siku wakikutana na yanga lakin wakicheza na timu nyingine wanadebweda kama wanaumwa degedege.
Sasa hao mtibwa mbona vichwa vya panzi?
Aah wameniudhiiiiiiiii
Hii ya leo ni kali.
Dak ya 86 azam wanafunga goli la 5. tcheche
Hawana tofauti na Yanga, wanakaza kwa wengine wakikutana na Simba ni zaidi ya kichwa cha mende kushinda chooni kama ndala.
duh timu iliyomaliza round ya kwanza bila kufungwa na kuongoza ligi muda wote ndio imekuwa mhhh ahhh Ligarambwike anatupa taaabu kuwaonyesha watu njia ya kurudia Morogoro, tunaogopa watu wasielekee njia ya Lindi Mtwara
Hawana tofauti na Yanga, wanakaza kwa wengine wakikutana na Simba ni zaidi ya kichwa cha mende kushinda chooni kama ndala.
kwa mara ya mwisho Yanga kufungwa na simba katika ligi ilikuwa mwaka gani?
Hii ya leo ni kali.
Heli siye mikia hatuna shida na ubingwa so kimbizaneni wenyewe huko juu.Siye la muhimu tusishuke daraja tu basi.Ni Yanga, wewe unafikiri ni mkia mwenzako?
kwa mara ya mwisho Yanga kufungwa na simba katika ligi ilikuwa mwaka gani?
Bhaba Makoye Matale, leo hamchezi kweli? Si utuletee matokeo yenu na mgambo JKT!!