Live Updates: Azam FC v Mtibwa Sugar FC - 11/02/2015

Kocha wao ndo anawaharibia timu, anawafundisha wachezaji kucheza kwa nguvu zote siku wakikutana na yanga lakin wakicheza na timu nyingine wanadebweda kama wanaumwa degedege.

Sasa leo ndio watatia akili na kulala na viatu, wanatupania sisi na leo watatoka vichwa chini.
 
Dak ya 86 azam wanafunga goli la 5. tcheche
 
Hahahahaaa mikia bana, hawa mtibwa ndio ni vichwa vya panzi, tuwe tunacheza nao siye au wengine.

Siku ile walicheza mpira wa kiushindani lakini leo wanacheza ovyo mno.

Kocha wao ndo anawaharibia timu, anawafundisha wachezaji kucheza kwa nguvu zote siku wakikutana na yanga lakin wakicheza na timu nyingine wanadebweda kama wanaumwa degedege.

Sasa hao mtibwa mbona vichwa vya panzi?
Aah wameniudhiiiiiiiii

Hawana tofauti na Yanga, wanakaza kwa wengine wakikutana na Simba ni zaidi ya kichwa cha mende kushinda chooni kama ndala.
 
duh timu iliyomaliza round ya kwanza bila kufungwa na kuongoza ligi muda wote ndio imekuwa mhhh ahhh Ligarambwike anatupa taaabu kuwaonyesha watu njia ya kurudia Morogoro, tunaogopa watu wasielekee njia ya Lindi Mtwara
 
Dak ya 86 azam wanafunga goli la 5. tcheche

wajitahid kuachia kabisa ili zifike hata saba bac...ili wapotee kabisa njia na mropokaji wao sijui ndio kifaru...wanaonaga soda sana wakicheza na YANGA timu pendwa ya wananchi wa tanzania
 
Hawana tofauti na Yanga, wanakaza kwa wengine wakikutana na Simba ni zaidi ya kichwa cha mende kushinda chooni kama ndala.

kwa mara ya mwisho Yanga kufungwa na simba katika ligi ilikuwa mwaka gani?
 
duh timu iliyomaliza round ya kwanza bila kufungwa na kuongoza ligi muda wote ndio imekuwa mhhh ahhh Ligarambwike anatupa taaabu kuwaonyesha watu njia ya kurudia Morogoro, tunaogopa watu wasielekee njia ya Lindi Mtwara

Amefulia huyu na litimu lake libovu.
 
Hawana tofauti na Yanga, wanakaza kwa wengine wakikutana na Simba ni zaidi ya kichwa cha mende kushinda chooni kama ndala.

Tulia kama unanyolewa, endeleeni kujificha huku mambo bado magumu. Mmeona mwenzenu leo alichofanyiwa
 
Back
Top Bottom