Live Updates: Azam FC v Mtibwa Sugar FC - 11/02/2015

Live Updates: Azam FC v Mtibwa Sugar FC - 11/02/2015

Heli siye mikia hatuna shida na ubingwa so kimbizaneni wenyewe huko juu.Siye la muhimu tusishuke daraja tu basi.

Yah ... ubingwa mwakani! Tumetosheka na tulichovuna so far mwaka huu (Kombe la Mapinduzi; Mtani Jembe).
 
Yah ... ubingwa mwakani! Tumetosheka na tulichovuna so far mwaka huu (Kombe la Mapinduzi; Mtani Jembe).
Sure mkuu.Ya nn kuwavunja vijana wetu miguu kwa ubingwa wakati mishahara yenyewe ya kuungaunga?
mtani jembe inatutosha ngoja tujipange ubingwa mwakani inshaallah!
 
Kwani huu ni msimu wa ngapi hamjawahi hata kushika nafasi ya pili!!! Wewe jidanganye tu, Eti simba ndo atakuwa bingwa msimu huu!! Hivi wewe ni mzima kweli??

Kumbe kwenu ubingwa ni ushindi wa pili? Mna haki ya kufurahia kuongoza ligi. Simba mwaka jana na mwaka huu tumechukua vikombe na hela za kutosha.
 
Kumbe kwenu ubingwa ni ushindi wa pili? Mna haki ya kufurahia kuongoza ligi. Simba mwaka jana na mwaka huu tumechukua vikombe na hela za kutosha.

Halafu Siao mikia fc tumeridhika sana na nafasi tuliyopo ya 8 ubingwa waachieni YANGA na azam na zingine zinazopenda muhimu kwetu sisi tusishuke daraja tu
 
Halafu Siao mikia fc tumeridhika sana na nafasi tuliyopo ya 8 ubingwa waachieni YANGA na azam na zingine zinazopenda muhimu kwetu sisi tusishuke daraja tu

Major correction:
Mikia wako nafasi ya 9.
 
kuna harufu nyingi nimeziona leo

Ame ALLY Aliyecheza dhidi ya Yanga siye huyu wa leo

Mgosi kaanzishwa leo na kufanya yake makusudi
 
Leo tarehe 11/02/2015 majira ya saa 10 jioni kutakuwa na kipute cha aina yake pale Azam FC Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara watakapowaalika wakata miwa wa Mtibwa kutoka Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Mchezo huo utafanyika katika uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam.

Azam FC inaingia uwanjani ikiwa na kijeraha cha kutoa sare na Polisi Morogoro ya bao 2-2 na Mtibwa Sugar itaingia uwanjani ikiwa na jeraha la kufungwa bao 2-0 na timu ya Wananchi.

Kwa vyovyote vile, huu ni mchezo mgumu kwa timu zote, yafuatayo ni mavuno ya timu hizi kama yanavyoonekana katika msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom 2014/2015 hadi sasa:-

PositionTeamPWDLGAGFGDPoints
2
Azam FC

[TD="colspan: 10"]
PARTIAL VPL STANDING TABLE
[/TD]

[TD="width: 30, bgcolor: transparent"]
12
[/TD]
[TD="width: 35, bgcolor: transparent"]
6
[/TD]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]
4
[/TD]
[TD="width: 28, bgcolor: transparent"]
2
[/TD]
[TD="width: 38, bgcolor: transparent"]
10
[/TD]
[TD="width: 38, bgcolor: transparent"]
17
[/TD]
[TD="width: 40, bgcolor: transparent"]
7
[/TD]
[TD="width: 59, bgcolor: transparent"]
22
[/TD]

[TD="width: 78, bgcolor: transparent"]
6
[/TD]
[TD="width: 114, bgcolor: transparent"] Mtibwa Sugar [/TD]
[TD="width: 30, bgcolor: transparent"]
12
[/TD]
[TD="width: 35, bgcolor: transparent"]
4
[/TD]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]
6
[/TD]
[TD="width: 28, bgcolor: transparent"]
2
[/TD]
[TD="width: 38, bgcolor: transparent"]
9
[/TD]
[TD="width: 38, bgcolor: transparent"]
13
[/TD]
[TD="width: 40, bgcolor: transparent"]
4
[/TD]
[TD="width: 59, bgcolor: transparent"]
18
[/TD]

Hakuna shaka Azam FC itashangiliwa kwa nguvu na 'MIKIA' na Mtibwa Sugar itapata sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki wa timu ya Wananchi. Mashabiki wa Azam watapata ahueni pale Steve Azam atakapopata ruksa ya kukaa jukwaa la mikia kwa siku ya leo.

Pamoja na majigambo lukuki kutoka kwa mnenaji wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru, dakika 90 pekee ndizo zitaamua mshindi katika mchezo wa leo.

Makoye Matale
anazitakia kila la heri timu zote katika mchezo huo.
==============================

20' Goaaaaaal: Dakika ya ishirini Azam wanaandika bao la kwanza, Kipa anautoa mpira cm chache baada ya mstari hivyo kuhesabika goli.

27' Goaaaaaal: Dakika ya ishirini na saba Azam wanaandika bao la pili, Domayo anafunga bao jingine. Pasi nzuri kutoka winga ya kushoto na Domayo bila papara anaingiza wavuni.

34' Goaaaaaal: Mussa Mohammed wa Mtibwa anarudisha bao moja kwa timu ya Mtibwa baada ya Azam kutofanya marking yao vizuri

40' Goaaaaaal: Kavumbagu anaiandikia Azam bao la tatu baada ya pasi nzuri kutoka kwa sure boy

*Timu zinaenda mapumziko Azam ikiwa inaongoza kwa mabao 3 dhidi ya moja la Mtibwa

*Timu zimerudi kutoka mapumziko na mambo yanaendelea hapa uwanja wa Azam complex


Full Time: Azam 5-2 Mtibwa Sugar.
kudos lads for made my day
 
ndetichia wamekuibua, nilikuwepo uwanjani, Mtibwa wametepeta sana, mwishoni mwa mchezo nilizungumza faragha na mwalimu Mecky na akakubalian nami kwamba vijana wake walikuwa mechanical sana mechi za kwanza hivyo dhahiri shari wamechoka sana na ukizingatia waliunga Mapinduzi na matunzo yao si kama ya Azam etc
 
ndetichia wamekuibua, nilikuwepo uwanjani, Mtibwa wametepeta sana, mwishoni mwa mchezo nilizungumza faragha na mwalimu Mecky na akakubalian nami kwamba vijana wake walikuwa mechanical sana mechi za kwanza hivyo dhahiri shari wamechoka sana na ukizingatia waliunga Mapinduzi na matunzo yao si kama ya Azam etc

Harufu nzuri ilimtoa nyoka pangoni, kumbe ndetichia yupo, hofu na mashaka ni kwa Kitoabu tu, sijui kama yuko hai!
 
Last edited by a moderator:
kwa mara ya mwisho Yanga kufungwa na simba katika ligi ilikuwa mwaka gani?
Swali lako halina tofauti na demu anayejisifu eti hakumbuki mara ya mwisho kubakwa vichakani wakati kila siku anapigwa mtungo Guest chafu.

Imefikia hatua Yanga hamkumbuki lini Simba iliwafunga kwenye ligi kwani mnapofukuza makocha mnakuwa mmefanywa nini?
 
usisumbuke na hao mambumbumbu watakuumiza kichwa tu na mawazo mgando yao..rage aliwajulia sana
Mambumbumbu ni wale wanaotofautisha kupigwa mshedede kichakani na kupigwa mshedede chumbani, wanashindwa kujua kote huko lazima kyupi ivuliwe na kote mwanamke anapata mimba.
 
Back
Top Bottom