Live Updates:Costal Union vs Yanga

Live Updates:Costal Union vs Yanga

Ni aibu sana kujifanya mnajua kuchonga weee, sisi tunafanya kwa vitendo na habari nzuri ndio kama hii ya leo.
Mmetuombea tushindwe ila Mungu yu upande wetu points 3 za halali zetu.
Njooni muongee tena wale wanywa viroba visivyo na TBS. loh aibuuuuuuuuuu yenu
 
Dar young africans tumeshika ushukani wa ligi simba waliongea sana sasa nanyie jmoc mnacheza hapo hapo
 
Mbeleko ya refa leo imewaokoa, vijana wanaweka wavuni bao safi refa anakataa.
Hata hivyo leo mmejitahidi kuongea na refa mapema juzi mlichelewa sana.
 
Mbeleko ya refa leo imewaokoa, vijana wanaweka wavuni bao safi refa anakataa.
Hata hivyo leo mmejitahidi kuongea na refa mapema juzi mlichelewa sana.

Kwann hawakulalamika humud alicheza raf baada ya batez kudaka wap tumebebwa simba bhana siku ya mbeya city mlipewa penalty hila hile s kubebwa najua imewauma polen sana jmoc mkwakwan
 
Siamini kama kulikuwa na wanaume hapa hawalali, shingo zimewakakamaa hee leo peupe heshima imerudi, utulivu.
Yanga ni timu ya wastaarabu mpaka raha, ila ni aibu kushabikia timu si yako halafu hiyo timu ikafungwa.
Ndio mnakuja kupata aibu za utuzimani kama hivi. Mwatilisha huruma hamjijui tu.
Haya komeo la plastic ukuje hapa.
CC Komeo Lachuma.
 
Last edited by a moderator:
Nitarudi kutoa dozi ya kila mmoja kwa kipimo.chake, maana wengine hawakawii kuzima humu. So mchill tu mtaisoma kama guest tu humu leo mambo yote Yangaaaaaaaaaaaaa
 
Anaongea kiuhalisia sio kiushabiki.

Jana alikiri safu ya ushambuliaji ya yanga ni butu mno, leo mtu mzima amewafundisha kitu. Hongera kwa Cannavaro binafsi.
Ndiyo maana kuna uzi nilisema Yanga bila yeye hakuna kitu.

Yanga mmeshinda lakini ukweli ukweli moyoni mnaujua. Timu ni mbovu mno, inacheza mpira wa kubutua bora liende, Coastal Union nao mpira wao leo ulikuwa ni mbovu mno. Kila wakati waliotea wao, mipango ya magoli hakuna ilimradi mpira uende mbele.

Ndio maana Yanga ikikutana na timu inayoweka mpira chini lazima iumie. Ukweli ndiyo huo hata ukibisha tukutane wenyewe kwa wenyewe kama kocha hajafukuzwa.
 
Siamini kama kulikuwa na wanaume hapa hawalali, shingo zimewakakamaa hee leo peupe heshima imerudi, utulivu.
Yanga ni timu ya wastaarabu mpaka raha, ila ni aibu kushabikia timu si yako halafu hiyo timu ikafungwa.
Ndio mnakuja kupata aibu za utuzimani kama hivi. Mwatilisha huruma hamjijui tu.
Haya komeo la plastic ukuje hapa.
CC Komeo Lachuma.

Freeland
 
Last edited by a moderator:
Aahh mikia wazee wa hadisi" mara ooh tutajenga uwanja wa bilioni mbili"imekula kwenu yanga ndo vile tena wanashikilia usukani.

Mmechukua ubingwa wa mwezi February tena wiki ya kwanza. Mmeshachukua kikombe chenu?
 
siamini kama kulikuwa na wanaume hapa hawalali, shingo zimewakakamaa hee leo peupe heshima imerudi, utulivu.
Yanga ni timu ya wastaarabu mpaka raha, ila ni aibu kushabikia timu si yako halafu hiyo timu ikafungwa.
Ndio mnakuja kupata aibu za utuzimani kama hivi. Mwatilisha huruma hamjijui tu.
Haya komeo la plastic ukuje hapa.
Cc komeo lachuma.
mpiga ngumi ukutani huumiza mkonowe, naona unaongea kwa kukariri
 
dah kilichotokea hapa mkwakwan raha hapa saut imekauka ntarud
 
Una shida wewe, mboma unajisumbua sana? Anyway karibu Moet ushushie kijiba cha roho angalau.
Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Afadhali hata mlivyobutua butua na kupata hicho kigoli kimoja maana leo ungeua mtu kwa hasira. Yanga mna hasira za haraka kama mabubu.
 
WANASIMBA TUJAE HUMU KUJIBU MASHAMBULIZI HAWA WATEJA WETU HAWATUBABAISHI ASILANI.

Mandieta, Grafani, Bantulady, Makoye Matale, Mkolaji, Revocayus Kashaga, Bello......njooni woote wana simba humu
 
Back
Top Bottom