Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwisho wa kuchonga umekaribiacannavaro tu, hakuna mwingine kama yeye. Jijini tanga kila mtu anasema cannavaro wengine mwisho korogwe.
nooooma hukohuko ishieni chalinze tu mkija mjini unoma unawekwa kapani kwa mnyamatena noooma sanaaaaaaaaa, hongera za kutosha zimuendee kapteni wa ukweli nadir haroub canavaro kwa kulifanya hili jukwaa jana, leo na kesho watu tuheshimiane, manake leo wale wa mikia mirefu wameadimika humu.
Hahahaaaaaaaa...afadhali mmeufuma hicho kigoli cha kubahatisha, kwa hasira zile mngefungwa lazima ungepasuka kwa kujaa upepo.Hivi kumbe watumia bundle poleee, situmii hiko kitu kabisa, nilikuwa busy kusimamia homework kwanza.
Huyo unayemtaja kiboko yangu, anayeniogopa kama -----. Yuko wapi? Kama yeye mwanaume kweli aguse hapa, mmeishiwa nyie kwanza siye ndio tuna furaha why tuhangaike?
Afadhali mmechukua Ubingwa wa Mwezi wa Pili (February), 2015. Hongereni sana. Msisahau kuchukua zawadi yenu TFF. Teheteheteheteheheeeeee....Katavi pekee ndiye tulikuwa naye, tukaagana, ninyi nyote mlisepa ki-design. Mjae humu kufanya nini wakati mmefungwa? Yanga iko kileleni, ninyi mkisota nafasi ya 8. Poleni sana.
Hiyo mali yetu wenyewe, tunaijulia sana tu na yenyewe inajua.nooooma hukohuko ishieni chalinze tu mkija mjini unoma unawekwa kapani kwa mnyama
Walishapoteana humu. Hivi timu ya Yanga haina washambuliaji, mpaka mabeki wafunge?canavaro amehuisha jukwaa
Afadhali mmechukua Ubingwa wa Mwezi wa Pili (February), 2015. Hongereni sana. Msisahau kuchukua zawadi yenu TFF. Teheteheteheteheheeeeee....
Wenyewe wapo hapahapa waje kukanusha hapa. Kwa kuona marefa yanga iko juu....kumbe kuna goli limekataliwa leo?...btw yanga hajafungwa na coastal pale tanga kwa miaka ya karibuni
Unasema gemu ya mwisho kabla ya Coastal Union mlicheza na Azam?Uzuri tulicheza na azam gem ya mwisho namin ndo timu bora nn kilitokeam?.
Nimesema hivi wahini Ofisi za TFF kuchukua ubingwa wa February, 2015. Sisi wakwetu tuonane mwisho wa Ligi.Mkuu sisi huwa hatuna mchezo ligi ikifikia hatua hii, endeleeni kuchekacheka sisi tunaelekea kurejesha ubingwa wetu ulioporwa na Azam FC.
Jikumbushe hapa: STRAIKA: YANGA YATWAA UBINGWA WA 24 LIGI KUU BARA...
Baiskeli ya miti hata Zanzibar tuliiona, mpelekempeleke JKU alipokuja chaliiiii kama mwanamke mwenye mimba ya miezi 9, wakati huo Mnyama mdogomdogo mpaka Ndoo akaweka kibindoni....Kileleni kwa siku mbili...wenye nafasi zetu tunakuja
Hongera bingwa wa hatua hii, tumewazoea kukurupuka mwisho wa siku Ubingwa halisi wanachukua wenyewe.Mkuu sisi huwa hatuna mchezo ligi ikifikia hatua hii, endeleeni kuchekacheka sisi tunaelekea kurejesha ubingwa wetu ulioporwa na Azam FC.
Jikumbushe hapa: STRAIKA: YANGA YATWAA UBINGWA WA 24 LIGI KUU BARA...
wenyewe gani tena zaidi ya yanga!!!!Hongera bingwa wa hatua hii, tumewazoea kukurupuka mwisho wa siku Ubingwa halisi wanachukua wenyewe.