Live Updates:Costal Union vs Yanga

Live Updates:Costal Union vs Yanga

wawekage kobofyo cha UNLIKE

===========
===========
Matokeo ya Mwisho: Coastal Union 0 - 1 Yanga Afrika[/QUOTE]
 
tena noooma sanaaaaaaaaa, hongera za kutosha zimuendee kapteni wa ukweli nadir haroub canavaro kwa kulifanya hili jukwaa jana, leo na kesho watu tuheshimiane, manake leo wale wa mikia mirefu wameadimika humu.
nooooma hukohuko ishieni chalinze tu mkija mjini unoma unawekwa kapani kwa mnyama
 
download (3).jpg
 
Hivi kumbe watumia bundle poleee, situmii hiko kitu kabisa, nilikuwa busy kusimamia homework kwanza.
Huyo unayemtaja kiboko yangu, anayeniogopa kama -----. Yuko wapi? Kama yeye mwanaume kweli aguse hapa, mmeishiwa nyie kwanza siye ndio tuna furaha why tuhangaike?
Hahahaaaaaaaa...afadhali mmeufuma hicho kigoli cha kubahatisha, kwa hasira zile mngefungwa lazima ungepasuka kwa kujaa upepo.
 
Katavi pekee ndiye tulikuwa naye, tukaagana, ninyi nyote mlisepa ki-design. Mjae humu kufanya nini wakati mmefungwa? Yanga iko kileleni, ninyi mkisota nafasi ya 8. Poleni sana.
Afadhali mmechukua Ubingwa wa Mwezi wa Pili (February), 2015. Hongereni sana. Msisahau kuchukua zawadi yenu TFF. Teheteheteheteheheeeeee....
 
Kileleni kwa siku mbili...wenye nafasi zetu tunakuja
Baiskeli ya miti hata Zanzibar tuliiona, mpelekempeleke JKU alipokuja chaliiiii kama mwanamke mwenye mimba ya miezi 9, wakati huo Mnyama mdogomdogo mpaka Ndoo akaweka kibindoni....
 
Hongera bingwa wa hatua hii, tumewazoea kukurupuka mwisho wa siku Ubingwa halisi wanachukua wenyewe.
wenyewe gani tena zaidi ya yanga!!!!
Anaestahili kuitwa mwenyewe hapo ni yule aliechukua hicho kikombe mara nyingi zaidi kuliko wengine. Je, kati ya timu zote zinazoshiriki ligi kuu ni timu gani iliyochukuwa ubingwa mara nyingi kuliko nyingine.!!? Tafuta jibu ukipata utamjuwa nani anapaswa kuitwa ''mwenyewe''
 
Back
Top Bottom