Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

Usiogope, Atletico wamekuwa wana-defend tu kwenye mechi zao zote za hivi karibuni, ndio maana wameshapoteza mechi kadhaa lakini watu hawaongei anavyoongea kama ikipoteza mechi Real. Kama umeona mechi yao na Liverkusen, wale watoto walikosa tu confidence, Atletico walipata goli dakika ya 27, kisha wakachezeshwa half ground mechi yote mpaka wakashinda kwa pelnaties kwa bahati tu. hawana timu ya kutisha sana wale.

Ukweli unabaki Atletico ni kiboko ya Real, Real hawapo vizuri siku hizi. Pia usisahau Real wameingiaje robo finali.
 
Ukweli unabaki Atletico ni kiboko ya Real, Real hawapo vizuri siku hizi. Pia usisahau Real wameingiaje robo finali.

Nimeshuhudia Derby nyingi sana kuliko unavyofikiri. Pia nimeishi Ciudad de Madrid for 11 years. Ninachojua mimi Atletico are there for Real Madrid (and it's a political issue if you don't know). Atlètico au Barcelona haiwezi kuwa kiboko ya Madrid Royal, If you don't want the truth, utakuja kupiga magoti mbele ya JF when the "Club Royal de Madrid" take the lead of la liga this evening.
 
Nimeshuhudia Derby nyingi sana kuliko unavyofikiri. Pia nimeishi Ciudad de Madrid for 11 years. Ninachojua mimi Atletico are there for Real Madrid (and it's a political issue if you don't know). Atltico au Barcelona haiwezi kuwa kiboko ya Madrid Royal, If you don't want the truth, utakuja kupiga magoti mbele ya JF when the "Club Royal de Madrid" take the lead of la liga this evening.

kiko wap sasa au ndo mnaongoza ligi HAPANA CHEZEA WABAKAJI
 
Hao Man u kama wanajiweza kwa nn wasiwepo.
Na hao unaohisi wanajiweza mbona hawapo?

Nina hamu ya kujua huyo Messi atakutana na nani. Naomba akutane na bayern tuone kama Guardiola atafumba tena macho.
Fro your information barcelona kwa bayan haambulii kitu, unakumbuka mara ya mwisho walikutana alipigwa ngapi?wiki bila (7-0)
Mkuu hawa jamaa wanacheza mpira wa aina moja. Tutakachofaidika nao ni mpira wa burudani. Ila advantage ya munichen wana ngome ngumu mnooo, jambo litakalowapa shida baca.
Umenichekesha sana mkuu, ila jua barca kwa bayern ni sawa na sisimizi kwa tembo!!
 
Back
Top Bottom