truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 338
Usiogope, Atletico wamekuwa wana-defend tu kwenye mechi zao zote za hivi karibuni, ndio maana wameshapoteza mechi kadhaa lakini watu hawaongei anavyoongea kama ikipoteza mechi Real. Kama umeona mechi yao na Liverkusen, wale watoto walikosa tu confidence, Atletico walipata goli dakika ya 27, kisha wakachezeshwa half ground mechi yote mpaka wakashinda kwa pelnaties kwa bahati tu. hawana timu ya kutisha sana wale.
Ukweli unabaki Atletico ni kiboko ya Real, Real hawapo vizuri siku hizi. Pia usisahau Real wameingiaje robo finali.