Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mechi bado mbichi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeshawekwa kimokoKila lakheri chama langu SIMBA SPORT CLUB tupo nyuma yenu!
Tusubiri dk 90
Wamesha papaswa kimojaSimba nguvu moja ,tupe apdate huku umeme umekata
Bado mkuupigaa nyau huyoo
Kabisa.Mechi bado mbichi
Azam wamekuwa wajinga San.Hawa Azam waache mambo ya kutujazia tangazo kubwa wakt game inaendelea.. wanaboa
Itakuwa nzuri kama tukipata beki.Watani hamna beki na hii mechi inaisha 2:0/2:1 kila la heri...
3 bila mzeeWatani hamna beki na hii mechi inaisha 2:0/2:1 kila la heri...
Na ndio tatizo kubwa la Simba.Simba wako slow sana.
Ihefu 0-3 Yanga Full-timeCAF CHAMPIONS LEAGUE QUALIFICATIONS.
Raundi ya kwanza, mkondo wa kwanza.
(Oooh, Ataepita mikondo(aggregates) yote miwili ataingia hatua ya makundi moja kwa moja. )
10:00 JIONI: FC Platinum, Zimbabwe v Simba SC, Tanzania
UWANJA: Uwanja wa Taifa, Harare- Zimbabwe.
ITAONESHWA MUBASHARA: Azam Sports HD 1.
Na. Da Gladiator.
Patashika ya ligi ya mabingwa Afrika kufuzu hatua ya makundi, raundi ya kwanza, mkondo wa kwanza, kuendelea leo Jumatano 23, Disemba 2020. Leo zitapigwa mechi kifutu katika viwanja mbalimbali. Lakini katika uwanja wa Taifa Harare-Zimbabwe kuna bonge la mechi kati ya Simba SC, Tanzania na FC Platinum, Zimbabwe.
Hii ni baada ya mnyama huyo mkali mwituni Simba SC kuwaondosha kwa aibu raundi ya awali, mabingwa wa nchi bora, kubwa na maarufu kisoka Plateau Utd FC ya nchini Nigeria na Luis Miquisson kuibuka mchezaji bora wa mechi zote mbili na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo.
Mkondo wa kwanza.
Plateau Utd FC 0-1 Simba SC,
Goli: C C Chama, 59'.
Mkondo wa pili.
Simba 0-0 Plateau Utd FC.
Je, Simba SC ama FC Platinum kuibuka mbabe? Kaa nami/nasi usikose ukahadithiwa. Kumbuka mtanange ni kuanzia saa 10:00 jioni.
Nyongeza;
Usisahau kuwa UTO leo wanacheza mchezo wao wa kimataifa, Uwanja wa Sokoine-Mbeya, wamesafiri usiku kucha kwa basi maana mbeya ni mbali, na sidhani kama watatoka salama, maana si kwa yale madera yao .
"Kulitaka mwana, kulipewa mwana".
#SimbaNguvuMoja.
#AnotherLevel.
Karibuni kwa michango yenu.
View attachment 1657649
Acha uchawi mkuu. Mechi bado mbichi.3 bila mzee
Kwanza alianza Babu Onyango kumsindikiza Chikwende akaona isiwe tabuMzee Wawa kakutana na vijana wenye Kasi wanapita makwapani na kumtungua manura. Simba wanatakiwa wafahamu mashindano wanayo cheza Kuna vijana wanakasi,kitendo Cha ukuta wa Simba katikati kucheza wazee ni hatari ya kujitakia.