Live Updates: FC Platinum vs Simba SC, Uwanja wa Taifa - Zimbabwe

Ihefu 0-3 Yanga Full-time

Pole sana [emoji22]
 
Mzee Wawa kakutana na vijana wenye Kasi wanapita makwapani na kumtungua manura. Simba wanatakiwa wafahamu mashindano wanayo cheza Kuna vijana wanakasi,kitendo Cha ukuta wa Simba katikati kucheza wazee ni hatari ya kujitakia.
Kwanza alianza Babu Onyango kumsindikiza Chikwende akaona isiwe tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…