Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
- #101
Simba SC, hatujawahi kuwa rough, mambo yetu yote ni biriani.kwa namna ulivyoupangilia uzi naimaini matumaini ya ushindi ni 99.9% maana ungekua huna tumaini la ushindi ungeandika rough