Live Updates: FC Platinum vs Simba SC, Uwanja wa Taifa - Zimbabwe

Nisamehe kama umekereka. Niuwie radhi mkuu.
... Ujue kuiondosha timu nyingine kwa aibu, haiwezi kuwa kwa kigoli kimoja (cha kubahatisha) ilitakiwa iwe mvua ya magoli ndo kuiondoa kwa aibu ingeleta maana nzuri.. Anyways, jipeni moyo sanaaaa. Timu yenu ni ya kawaida mno sijui tuu huwa mnatoa wapi guts za kuji-boast namna hiyo
 
Mkuu kwani, unateseka ?!
 
Karibu ututazame.
 
Kila LAKHERI SIMBA! Mungu uyapuuze maombi yote mabaya ya wanayanga, Zaidi ya yote tunakuomba Ee Mungu ukawafanyie Ihefu Fc wepesi wa kushinda kupata point 3 katika mechi ya leo maana timu wanayocheza nayo ina point nyingi tu za kutosha kutoteremka daraja!
 
Ameeen
 
Ha ha ha ha.
 
Back
Top Bottom