Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #101
Simba SC, hatujawahi kuwa rough, mambo yetu yote ni biriani.kwa namna ulivyoupangilia uzi naimaini matumaini ya ushindi ni 99.9% maana ungekua huna tumaini la ushindi ungeandika rough
Hivo sahau kuhusu, roughness.kwa namna ulivyoupangilia uzi naimaini matumaini ya ushindi ni 99.9% maana ungekua huna tumaini la ushindi ungeandika rough
Karibu kene Uzi.
Karibu kene Uzi.
Tafadhali tuwe pamoja
[emoji23][emoji23][emoji23] lkn moyoni Nakuombea ufungwe tatizo mtachonga sanaSafi sana, Mkuu. Wewe ni mzalendo.
... Ujue kuiondosha timu nyingine kwa aibu, haiwezi kuwa kwa kigoli kimoja (cha kubahatisha) ilitakiwa iwe mvua ya magoli ndo kuiondoa kwa aibu ingeleta maana nzuri.. Anyways, jipeni moyo sanaaaa. Timu yenu ni ya kawaida mno sijui tuu huwa mnatoa wapi guts za kuji-boast namna hiyoNisamehe kama umekereka. Niuwie radhi mkuu.
Ushindwe na Ulegee kwa jina LA Yesu.[emoji23][emoji23][emoji23] lkn moyoni Nakuombea ufungwe tatizo mtachonga sana
Mkuu kwani, unateseka ?!... Ujue kuiondosha timu nyingine kwa aibu, haiwezi kuwa kwa kigoli kimoja (cha kubahatisha) ilitakiwa iwe mvua ya magoli ndo kuiondoa kwa aibu ingeleta maana nzuri.. Anyways, jipeni moyo sanaaaa. Timu yenu ni ya kawaida mno sijui tuu huwa mnatoa wapi guts za kuji-boast namna hiyo
Unakufa leo MtaniUshindwe na Ulegee kwa jina LA Yesu.
Sio kwa roho mbaya hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23] lkn moyoni Nakuombea ufungwe tatizo mtachonga sana
Karibu ututazame.... Ujue kuiondosha timu nyingine kwa aibu, haiwezi kuwa kwa kigoli kimoja (cha kubahatisha) ilitakiwa iwe mvua ya magoli ndo kuiondoa kwa aibu ingeleta maana nzuri.. Anyways, jipeni moyo sanaaaa. Timu yenu ni ya kawaida mno sijui tuu huwa mnatoa wapi guts za kuji-boast namna hiyo
Ntaanzaje kufa ?!Unakufa leo Mtani
Sahau mtani.Unakufa leo Mtani
Simba is underdogSio kwa roho mbaya hiyo.
Sio kwa PlatinumSimba is underdog
Sawa tunawamudu.Simba is underdog
AmeeenKila LAKHERI SIMBA! Mungu uyapuuze maombi yote mabaya ya wanayanga, Zaidi ya yote tunakuomba Ee Mungu ukawafanyie Ihefu Fc wepesi wa kushinda kupata point 3 katika mechi ya leo maana timu wanayocheza nayo ina point nyingi tu za kutosha kutoteremka daraja!
Ha ha ha ha.Kila LAKHERI SIMBA! Mungu uyapuuze maombi yote mabaya ya wanayanga, Zaidi ya yote tunakuomba Ee Mungu ukawafanyie Ihefu Fc wepesi wa kushinda kupata point 3 katika mechi ya leo maana timu wanayocheza nayo ina point nyingi tu za kutosha kutoteremka daraja!