Live Updates: FC Platinum vs Simba SC, Uwanja wa Taifa - Zimbabwe

..issue sio kuteseka...nimegundua huwa mna tabia ya kudharau sn timu pinzani mnazocheza nazo. Mnaingia na matokeo mfukoni then mnaenda kushangazwa. Mkumbuke huko leo refa sio Elly Sasii, ohoo.....
Ha ha ha, karibu chamani.
 
..issue sio kuteseka...nimegundua huwa mna tabia ya kudharau sn timu pinzani mnazocheza nazo. Mnaingia na matokeo mfukoni then mnaenda kushangazwa. Mkumbuke huko leo refa sio Elly Sasii, ohoo.....
Leo tutakushangaza.
 
...msije kushangazwa nyie, nna uhakika baada ya game yenu ya Zimbabwe leo, uzi huu utakuwa dormant sana manake mtakuwa na majonzi kufuatia kichapo from platinum fc
Pia tukishinda, tunakuomba usitutenge mkuu.
 
Utopolo mbona unatesekaaa?? Hata wewe haujakatazwa kuipamba utopolo la Dela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…