Live Updates: FC Platinum vs Simba SC, Uwanja wa Taifa - Zimbabwe

Live Updates: FC Platinum vs Simba SC, Uwanja wa Taifa - Zimbabwe

..issue sio kuteseka...nimegundua huwa mna tabia ya kudharau sn timu pinzani mnazocheza nazo. Mnaingia na matokeo mfukoni then mnaenda kushangazwa. Mkumbuke huko leo refa sio Elly Sasii, ohoo.....
Ha ha ha, karibu chamani.
 
..issue sio kuteseka...nimegundua huwa mna tabia ya kudharau sn timu pinzani mnazocheza nazo. Mnaingia na matokeo mfukoni then mnaenda kushangazwa. Mkumbuke huko leo refa sio Elly Sasii, ohoo.....
Leo tutakushangaza.
 
... Ujue kuiondosha timu nyingine kwa aibu, haiwezi kuwa kwa kigoli kimoja (cha kubahatisha) ilitakiwa iwe mvua ya magoli ndo kuiondoa kwa aibu ingeleta maana nzuri.. Anyways, jipeni moyo sanaaaa. Timu yenu ni ya kawaida mno sijui tuu huwa mnatoa wapi guts za kuji-boast namna hiyo
Utopolo mbona unatesekaaa?? Hata wewe haujakatazwa kuipamba utopolo la Dela.
 
Back
Top Bottom