Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #141
Anadha Levo.Nguvu moja
Point zipo mkuu.Mechi za mtoano huwa hakuna points
Wasema wewe, lazima tuUpdate mtani wetu.Simba SC inafungwa alafu Paragraph ya Mwisho haina umuhimu wala haikupaswa kuwepo!
Ha ha ha ha.Mungu mbariki homeboy maguli
Nifahamishe zinakuwajePoint zipo mkuu.
Mkuu hakuna mechi isiyokuwa na points.Nifahamishe zinakuwaje
...mkuu gladiator....points hazihesabiwi kwa stage hii, mpaka stage ya makundi. Kwa sasa wanaangalia jumla ya magoli tuu (aggregates) ya nyumbani na ugenini, ndo yanaamua nani anasonga mbeleMkuu hakuna mechi isiyokuwa na points.
Mfano Simba akifungwa Leo, platinum atakuwa na point 3, simba atakuwa na point 0. Mechi ya marudiano ikatokea simba kashinda simba nae atakuwa na point 3. Hivo wote watakuwa na point 3 kwa 3. Itabidi iangaliwe goal difference, vivo hivo mpaka apatikane anaye paswa kufuzu.
Nikuulize ?!...mkuu gladiator....points hazihesabiwi kwa stage hii, mpaka stage ya makundi. Kwa sasa wanaangalia jumla ya magoli tuu (aggregates) ya nyumbani na ugenini, ndo yanaamua nani anasonga mbele
Karibu mtani....Nikuulize ?!
Imetokea bahati mbaya, mpaka kufika SAA 1700, Simba SC, Tanzania. Haijaonekana uwanjani. Nini kitatokea ?!Karibu mtani....
Ni kweli , hii itatupa utulivu zaidi.Jambo jema ni kwamba Simba hata ikitolewa na Platnum, bado itapangiwa timu ya kucheza nayo kule kombe la CAF - Shirikisho hivyo bado haina cha kupoteza.
Ila hatutaki tufike huko. AmeenA.Jambo jema ni kwamba Simba hata ikitolewa na Platnum, bado itapangiwa timu ya kucheza nayo kule kombe la CAF - Shirikisho hivyo bado haina cha kupoteza.
Game ya pili itachezwa Kwa Mkapa, Sio Rahisi kwa Platnum kuitoa Simba. Kamati ya roho mbaya inanafasi ya kumaliza mchezo, kitawakuta kilichowakuta AS VitaIla hatutaki tufike huko. AmeenA.
Mkuu najivunia uwepo wako.Game ya pili itachezwa Kwa Mkapa, Sio Rahisi kwa Platnum kuitoa Simba. Kamati ya roho mbaya inanafasi ya kumaliza mchezo, kitawakuta kilichowakuta AS Vita
At least Leo tudraw, au kushinda.Game ya pili itachezwa Kwa Mkapa, Sio Rahisi kwa Platnum kuitoa Simba. Kamati ya roho mbaya inanafasi ya kumaliza mchezo, kitawakuta kilichowakuta AS Vita
Naona mkuu kama vile ulikuwa na kocha[emoji851][emoji851]Nguvu moja leo ushindi lazima tutampiga hapo hapo kwao huyo Platinum.
Kikosi kikiwa hivi itakuwa bora Sana
1 Beno Kakolanya
2 Shomari Kapombe
3 Zimbwe JR
4 Onyango
5 Wawa
6 Erasto Nyoni
7 Hassan Dillunga
8 Jonas Mkude
9 Made Kagere
10 CC Chama
11 Luis Miqussion.
Hapo tutalinda zaidi hasa eneo la katikati (makosa ya mdhamiru na Ndemla yatatugharimu kwa ugenini Kama wakicheza).
Pia tutaweza kushambulia zaidi kwa kutumia mawinga hao wawili Luis na Dillunga wakisaidiwa na mabeki wa pembeni Shom K na Zimbwe JR .
Eneo la kati kati Jonas Mkude na Nyoni wanaweza kumchezesha Chama pale juu ambaye anaweza kuwa hatari zaidi akitokea katikati huku mbele yake kukiwa na MK14 kwenye box mtu hatari sana.
Pia Nyoni atakuwa na faida zaidi kwa kuwalinda mabeki wa kati Wawa Onyango ( uzoefu utawabeba )
Simba nguvu moja.
Karibu Pisi Kali.Kila la heri mnyamaaa
Tofauti ni kipa tu.Naona mkuu kama vile ulikuwa na kocha[emoji851][emoji851]