mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Simba inahitaji striker anaye eleweka, Mugalu, Kagere na Bocco ni level za VPL, Mugalu na Kagere waondolewa kutoa nafasi kwa striker mwenye uwezo na ari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani chama hakucheza leo?Simba inahitaji striker anaye eleweka, Mugalu, Kagere na Bocco ni level za VPL, Mugalu na Kagere waondolewa kutoa nafasi kwa striker mwenye uwezo na ari.
Hiyo ni mimba ya mapacha Watatu,kuitoa hiyo ni kifo.Watakuja kufia kwa Mkapa, hawataamini
Hivi Konde Boy alikuwepo?Kwani chama hakucheza leo?
Kafichwa kwapani na ufupi wake ule. Level yao ni kucheza mchangani tu haoHivi Konde Boy alikuwepo?
Anaonekana akicheza na Gwambina au IhefuHivi Konde Boy alikuwepo?
Alikuwepo, Ila tumemtunza mechi ijayoHivi Konde Boy alikuwepo?
Mapema sana. Just waitWanakuja kufa taifa
Yuko sawa tu, mechi bado mbichi bossYule tajiri wao ana hali gani?
BradhaThis iz thimba
Wamempokonya simu asitwiti tamkoYule tajiri wao ana hali gani?
Uko sahihi, mechi bado hiiFc platinums wamecheza sana kwa kuihofia Simba wakicheza hivi Dar es salaam na Simba wakiwa na mipango,mikakati,mpango kazi wakueleweka ana nafasi ya kupita kwenda makundi.
Acha umbea ww.Wamempokonya simu asitwiti tamko