Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Ndo nimefika survey hapa naona maandalizi sio mabaya, kreti za bia zinaingia ndani tayari kwa kupangwa kwenye fridge and freezers tayari kwa chit chatters jion hii..

Mbuzi na bata kazaa naona nao wanatoka machinjion wanaingia ndani..

Mi ndo nimefika hapa mapema kwa ajili ya kupata supu na kwenda kwenye mihangaiko ya wekend na imani hiyo jion ya leo patakuwa hapatoshi..
 
he he he....JF HQ vs JF WING Dar.....nani atafunika....?....haloooo haloooo.....
 
Mie nipo around maeneo haya, nakata majani ya kulisha mifugo nikaoge, nivae nguo zangu za sikukuu then niibuke hapo
 
Heeee, kumbe ni leo! Mie niko huku Kiembe Samaki, nitakuwa nikifuatilia up dates kinachijiri katika eneo hilo la tukio.
Zinduna Talk Show iko hewani nitakuwa nikiwasilisha kutokea pande hizi za Kiembe Samaki kwani Teknolojia imerahisisha mambo mengi sana
 
Eenh! Kwani ile issue ni leo?? Nways mchakato unaanza saa ngapi? Nipange mipango yangu mapema.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kumbe una viwalo vya sikukuu lol we mkare!
Mie nipo around maeneo haya, nakata majani ya kulisha mifugo nikaoge, nivae nguo zangu za sikukuu then niibuke hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…