Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Mi mwenyewe nimenasa hapa Kinondoni. Huyu Madame B sijui kwanini haamii shamba anafugia mbuzi mjini..... Foleni inasababishwa na mbuzi wa Madame B. Ila usinitongozee cacico tafazali, nataka ninasane naye....

attachment.php

hahahahaha,
Jamani Asprin me mfugo wangu uko nyumbani umetulia.
 
Last edited by a moderator:
155981_462729797099837_953009532_a.jpg

NAFANYA MPANGO NIENDE KWA Mtambuzi nikamwombee kibali kwa Mama Ngina. Nadhan mmeona alivyobanwa.
 
Last edited by a moderator:
155981_462729797099837_953009532_a.jpg

NAFANYA MPANGO NIENDE KWA Mtambuzi nikamwombee kibali kwa Mama Ngina. Nadhan mmeona alivyobanwa.

Huyo muache hukohuko kama kweli unataka kupata totoz hapa brajec, hachelewi kuharibu huyo!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom