Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Najua halii hii itatokea kwa baadh ya memberz.

Na mtu mwenyewe namjua maana ndo zake kudondosha gari. Natamani nimtaje lakini naogopa kutukanwa mie..... Si ushamjua??

Shuhudia mwenyewe matusi yake
 
Nani akuwekee kauzibe wakati tunakuona unachomfanyia huyo mkaka? Hivi tabia mbaya utaacha lini?


Jamani eeeh, mbona mnasumbuliwa na wivu? Niacheni nile vyangu mie.
 
Ewaaa! We ni kijana mzuri. Mtakukabidhi Ciello uhangaike naye....





Bora usimtaje yasije yakakutokea ya kukutokea.

Ciello tena?. Na mai sweety Madame B?!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…