figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
nipo Dar tayar figganigga. We utakuwepo Brajec?
Yani mamito,nimekupa kibali kwa %100.
Mh,ukaguzi tena jamani?
Ule unafaa chumbani marejesho.
Ila kama Asprin asipokuwepo, Nicas Mtei atashika usukani.
mkuu napenda marafiki wakweli, dar upo pande gani? wiki nzima nmeshinda kitaa ungekuwepo ningekuona. simu yako yenyewe inapatikana kwa machale. Usihofu lakini, kama upo leo tutaonana hata usipo niona utamuona madame. mia

Thanks Mamito Madam B
Basi ukaguzi tutausogeza mbele ila kama Nicas Mtei atakuwepo ,nitafurahi sana!!!
Yani mamito,nimekupa kibali kwa %100.
Mh,ukaguzi tena jamani?
Ule unafaa chumbani marejesho.
Ila kama Asprin asipokuwepo, Nicas Mtei atashika usukani.
Hapo kwenye blue hujui kama Ni mgoni?
Hapo bold,hata kama ana inshu za kung'oa mlupo,nitamsaidiaje?
Thanks Mamito Madam B
Basi ukaguzi tutausogeza mbele ila kama Nicas Mtei atakuwepo ,nitafurahi sana!!!
we una akili sana. Ulisoma na Mulugo?
thubutu kukutwa umetaja mia, utalipiwa kifurushi chako. mia
Nicas Mtei umesahau kwamba jamaa alifaulu peke yake kwenye Saint Kayumba?
Madam B atakuwa alisoma special school ndio maana ameweza kusuggest jambo poa sana!!!