Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Kumbe una viwalo vya sikukuu lol we mkare!

Ciello chezeiya mie ee!!!????, ninavyo vikali vyangu sandukuni, nilivaa mara ya mwisho sabasaba nikavifua nikaviweka sandukuni na dawa ya mende
 
Last edited by a moderator:
Tayari nimeshafka hapa Brajec. Maandalizi yanaendelea. Karibuni sana wadau.
 
Kaunta imeshehen vimiminika vya kila namna mshndwe wenyewe tu.

 
Aseeeee
Duuh!!!

Ngoja nigonge hii kitu kwanza.".nikija huko ni kugida maulabu na kutongoza mademu wa watu!

 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1352539773.354319.jpg
    49.2 KB · Views: 27
Aseeeee
Duuh!!!

Ngoja nigonge hii kitu kwanza.".nikija huko ni kugida maulabu na kutongoza mademu wa watu!

View attachment 70823

Mi mwenyewe nimenasa hapa Kinondoni. Huyu Madame B sijui kwanini haamii shamba anafugia mbuzi mjini..... Foleni inasababishwa na mbuzi wa Madame B. Ila usinitongozee cacico tafazali, nataka ninasane naye....

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…