Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Hii kauli inanikumbusha jukwaa la thiatha.
Mpenzi,
Ni Upepo tu, Utapita.
Mitete itaanguka ila mwamba me nawe tutabaki tumesimama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kauli inanikumbusha jukwaa la thiatha.
Hata mfanyeje mimi na C', C' na mimi 4reva.
chrminglady naona umebalance equation na mashem zangu. Bravoo!
Yesu Ruwa! Nini tena hii asee? Ya TMK tena?
Sana tuuuuu!
afu charminglady ndo yule mdogo wangu wa Bunju niliekuambia.
.....??!,
Na ole niachike,patachimbika.
Yesu Ruwa! Nini tena hii asee? Ya TMK tena?
Mpenzi,
Ni Upepo tu, Utapita.
Mitete itaanguka ila mwamba me nawe tutabaki tumesimama.
kwendraaaaaaa
Utambulisho unaendelea! Chezea sweety wewe!
usihofu sana. dawa ya maji ya kuwasha ni oil chafu na dawa ya kunasa ni condom. ukienda peku umenasa. mia
...,twende zetu,tukalale!!!
Kweli kabisa na mtasonga Mbele
We endelea tu na maandalizi ya shughuli, mi natangulia bed. Wape hi mashem zangu kina Ruta, cherminglady, preta nk...
Woooooooooow itafana sana