Nani anaongoza???
Mgambo piga hao yebo yebo
Nawe kumbe huwa unaandikaga utumbo wa namna hii!?benchi la Yanga limejaa viongozi (mafundi) wengi kuliko wachezaji
Asante mkuu
Mungu ibariki yanga
Hii mechi tunawapiga mgambo goli moja tu...mtu akibisha aweke dau
Yanga mnasubili nini mpaka sasa amjafunga tu goli.