watu ni wengi sana na foleni za kuingia uwanjani ni ndefu sana,shangwe kila kona,wake kwa waume,watoto wote wanatiririka uwanjani
ndani ya sokoine na kila kitu kitakuwa poa
Nakapanya leo hujatenda haki ulikuwa wapi kuleta huu uzi mazee, mwezio sipo mbeya muhas inabana nw nipo shule hebu endelea, washabiki wamejigawaje leo hapo?
timu zimekwisha kaguliwa na mpira umeanza
prison wanaandika goli la kwanza
Unasema prison wanaongoza mapema yote hiii!!!!
Ni kweli, nasikiliza redio