Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
kwa mara nyingine Mji wa Mbeya umekuwa busy na shangwe nyingi sana,hii ni kawaida pale zinapokutana timu hizi mbili kutoka jiji la mbeya.Mashabiki wengi sana wanaipa sapoti timu ya Mbeya City na wachache sana wakiiunga mkongo timu ya Tanzania Prisons.
Tunatarajia mpambano wa kukata na shoka na wenye ushindani.Nipo ndani ya Sokoine Stadium nitaleta updates kila pale nitakavyoweza
===============
===============
Matokeo ya Mwisho: Mbeya City 2 - 2 Prisons