Yah...Jamaa wanajiangusha sana na refa anawabebaKwa huu uchezaji wa MO, yanga wasipokuwa makini watapata red card
Kitenge anasema Yanga hawakwenda hata kwenye semina iliyoandaliwa na CAF hapo kuna kazinahisi hawa marefa huwa wanapokea maelekezo.. yaan ni wa hovyooo kabisa...
Imetulia saivihk kipind cha pili mbona link inasach tu?
NDIO ZETU Hata Jerry Si Kasema Tufanye Hvyo Ili Kuendeleza UtanWamatopeni mna kazi mwaka huu,andaeni jezi zao kabisa ili wakija hapa mjazane Taifa.
Hivi nyie vipi sie tunashida ya ushindi huko algeria nyie mnazungumza viwavi!Wamchangani nini nyie!Hawa si ndo walikula viwavi kipindi kile cha njaa? Utakuwa umesababishwa na viwavi huo ugonjwa!!