Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
wanachotafuta wao ni matokeo..Dk88:Bejaia1-0Yanga.
Halafu mjue kuna wachezaji wao watatu wamezuiliwa mechi hii...
Kama na sisi tulivowakosa Juma Abdul na Captain NadirHalafu mjue kuna wachezaji wao watatu wamezuiliwa mechi hii...
Nashangilia tu...Kwa hiyo unataka kusemaje wewe Mbumbumbu?
Itabidi wapewe kazi ya kushangilia wageni..TP Mazembe wameahidi kuwalipia nauli SimbaKwa hiyo unataka kusemaje wewe Mbumbumbu?
hawa Mob vipi walitakiwa kuwatandika angalau 3....FT
MOB 1-0 Yanga