DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Mwarabu mpuuzi tu, hakuna mpira pale
Watanzania tuache ukarimu na upendo wa kijinga kwa hawa Mbwa Waarabu wakija Bongo.
Leo mji umetulia sana. Kunani?Utawasikia wakisema "tumefungwa kwa mbiinde"
nasikia mtu kaolewa ila sherehe zimefutwa kwa kubana matumizi... ndio maana hausikii shamra shamra mkuu.Leo mji umetulia sana. Kunani?
Nasikia kuna mtu anasema Mwarabu na Yanga ni sawa na mme na mke.... kwani kimetokea nini mkuu??
Ahsanta kwa taarifa kiongozi wangu. Basi ngoja tusubirie bi harusi ajifungue.nasikia mtu kaolewa ila sherehe zimefutwa kwa kubana matumizi... ndio maana hausikii shamra shamra mkuu.
Yanga mmepigwa.. Msitafute mchawi.. Mbwembwe za mazoezini zilkuwa nyingi kuliko maandaliz halisi.wa hedii kwa sifuri hakuna kampa kampa tena kwisney
Wamesahau hii ni group stage,points ni muhimu sio aggregateNdio shangaa sasa, tena hapo wamehurumiwa tu, otherwise wangenyukwa nyingi sana
Pole Sana shemeji.Kuna Watu mnachonga sana humu
Asante sana. Usijali tutaenda kuwapokeaPole Sana shemeji.
Ile ilikuwa rede? Na bado ndo mwanzo tuMwarabu mpuuzi tu, hakuna mpira pale
Mfanye hivyo shemeji Kama kawaida yenu eti mmepigana kiume.Asante sana. Usijali tutaenda kuwapokea
Tutafanya hivyo. Naona kama unatupiga majungu hiviMfanye hivyo shemeji Kama kawaida yenu eti mmepigana kiume.
Walaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tutafanya hivyo. Naona kama unatupiga majungu hivi
Hiyo comment yako ilivyo tuMkawapokee tena taifa
Walaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]