pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Je inawezekana kuchek hii mech kweny simu?Link iko vizuri Mkuu. Kama inasumbua kwenye simu tumia laptop ufurahie mechi ya leo.
Link iko vizuri Mkuu. Kama inasumbua kwenye simu tumia laptop ufurahie mechi ya leo.

clickable bhana icheki vzuri
Thanks kwa laptop imekubali. Tukutane saa 6:15 panapo majaaliwa.Link iko vizuri Mkuu. Kama inasumbua kwenye simu tumia laptop ufurahie mechi ya leo.
Makoye hiyo link kwenye laptop naipataje tafadhali.
Wale wa kustream kuna Chanel ya Ghana Gtv plus itaonyesha mchezo kati ya tp mazembe vs modeame wanaichambua sasa.
Mo bejaia 0- 2 Young African
We kima tuliaMO Bejaia msituangushe jamani