Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

Wale wa kustream kuna Chanel ya Ghana Gtv plus itaonyesha mchezo kati ya tp mazembe vs modeame wanaichambua sasa.
 
Tp mazembe anaongoza goli moja mechi INA endelea kwa wale wa kustream nenda Gtv on line Ghana unaipata mechi kati ya to mazembe na madema.
 
Mechi saa 6 na robo usiku, inaoneshwa na ENTV na BEINSPORT
 
Maustadh wenzangu MO Bejaia saa sita muda mzuri kabisa tuwapige hawa kandambili tukapige daku saa tisa kesho tunaendelea na swaumu swafi kabisa
 
Back
Top Bottom