Live Updates: Namungo FC Vs Nkana FC,Uwanja wa B.Mkapa

Live Updates: Namungo FC Vs Nkana FC,Uwanja wa B.Mkapa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
nkana-pic1.jpg

Nkana Fc wakipasha nje ya uwanja

Muda wa mechi umefika lakini hakuna timu uwanjani. Nkana FC wamegoma kupima Covid 19 wakidai wameshapimwa kwao.

Tunaendelea kusubiri
 
Hatuamini vipimo vyao kama ambavyo wao hawaamini vyetu
 
kuna aliye-bet namungo yuko hoi hapa!
vipi namungo akipewa ushindi wa mezani, bet yake itachanika?
 
kuna aliye-bet namungo yuko hoi hapa!
vipi namungo akipewa ushindi wa mezani, bet yake itachanika?
Inawezekana hapa tz tuna mchezo mchafu zuihujumu timu ngeni kupitia kivuli cha covid test? Maana hata kocha wa vita ni kama alilalamika jana dhidi ya simba
 
Inawezekana hapa tz tuna mchezo mchafu zuihujumu timu ngeni kupitia kivuli cha covid test? Maana hata kocha wa vita ni kama alilalamika jana dhidi ya simba
alilalamika nini? Yanga post kwa kutumia akili
 
Sheria inasema dkk ngapi wakigoma kuingiza timu uwanjani refa amalize mpira?
 
Inawezekana hapa tz tuna mchezo mchafu zuihujumu timu ngeni kupitia kivuli cha covid test? Maana hata kocha wa vita ni kama alilalamika jana dhidi ya simba
Wapi Kocha wa Vita alilalamika..? Kipa Katoka
 
Oneni vyombo vyetu vya habari camera imestuck hapo hapo utafikiri picha
 
Kwani Covid test inatoa majibu baada ya muda gani?

Afu tunawapima kwa vipimo vile vya Paipai na Mbuzi...?
 
Kama wameshapima huko kwao ni wazi wameshajigundua kuna wachezaji wana Covid, ndio maana machale yanawacheza.

Halafu si wangekuwa wanapimwa Airpot kabla hawajaingia mtaani?.
 
Back
Top Bottom