OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hapana atakiwa wameshindakuna aliye-bet namungo yuko hoi hapa!
vipi namungo akipewa ushindi wa mezani, bet yake itachanika?
Inawezekana hapa tz tuna mchezo mchafu zuihujumu timu ngeni kupitia kivuli cha covid test? Maana hata kocha wa vita ni kama alilalamika jana dhidi ya simbakuna aliye-bet namungo yuko hoi hapa!
vipi namungo akipewa ushindi wa mezani, bet yake itachanika?
alilalamika nini? Yanga post kwa kutumia akiliInawezekana hapa tz tuna mchezo mchafu zuihujumu timu ngeni kupitia kivuli cha covid test? Maana hata kocha wa vita ni kama alilalamika jana dhidi ya simba
Alisema wailipimwa mwishoni kabisaa!alilalamika nini? Yanga post kwa kutumia akili
Sio 30 mins?Sheria inasema dkk ngapi wakigoma kuingiza timu uwanjani refa amalize mpira?
Wapi Kocha wa Vita alilalamika..? Kipa KatokaInawezekana hapa tz tuna mchezo mchafu zuihujumu timu ngeni kupitia kivuli cha covid test? Maana hata kocha wa vita ni kama alilalamika jana dhidi ya simba
halafu majibu yakaweje?yaliwaadhiri nini?nani anapima?Alisema wailipimwa mwishoni kabisaa!
Wachezaji 5 wa kutegemewa njehalafu majibu yakaweje?yaliwaadhiri nini?nani anapima?
acha fix wewe,pambana na uyanga wakoWachezaji 5 wa kutegemewa nje