K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Tumieni na nyie mbaki ligi kuu.Mnnaenda kuleta uchawi kwenye ligi kuu,badala ya viwango
Nyie wapuuzi kabisa, siku ile Yanga amewapa ofa mbaki ligi kuu mkaanza kutafuta sifa kutokea mitaa ya Mama John, Mpaka Ifisi kwa mzungu wenu wa mchongo.